Kutoka kushoto Afisa Tehama Bi. Asha Said akiwa katika picha ya Pamoja na Mkurugenzi Rasilimali Watu, Uendeshaji na Utawala Bi. Saumu Said wakiwa katika ziara na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka huko Dodoma tarehe 13 Ogasti 2024. Katika ziara ya kujifunza mifumo ya TEHAMA.
Ujumbe kutoka Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar ukiongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka wakiwa katika katika kikao cha pamoja na wadau wa Haki Jinai Jijini Dodoma tarehe 13 Ogasti 2024.
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bibi Mwanamkaa A. Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasimamizi wa Haki Jinai katika Viunga vya Mahkama Kuu ya Tanzania jijini Dodoma tarehe 13 Ogasti 2024.
Previous slide
Next slide
DIRECTOR'S WELCOME NOTE
MR. MGENI JAILANI JECHA
I would like to take this opportunity to welcome you all to our respectful website. This website has been established for the purpose of enabling people to access information concerning our office in general and other important information on matters relating to the prosecution of criminal cases.
Prosecutions
According to section 17(b) of The Office the Director of Public Prosecutions Act, No. 2 of 2010
Press Statements
According to section 17(b) of The Office the Director of Public Prosecutions Act, No. 2 of
Court Updates
Court of Appeal of Tanzania, Regional Magistrate Courts, District Magistrates Courts, High Court of Zanzibar
6 Months Achievements
The overall performance of the DPP is determined by the quality of prosecutions which has been achieved through robust prosecution.
The analysis below demonstrates the cases lodged, concluded and conviction achieved