DPP Zanzibar - Office of the Director of Public Prosecutions
Logo Zanzibar

OFFICE OF THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS ZANZIBAR

No guilt without evidence. Do not underestimate, do not refuse to provide evidence
Logo Zanzibar

Division of Planning and Statistics

Division Overview and Core Duties

About the Division

Divisheni ya Mipango na Takwimu ina jukumu muhimu la kusimamia mipango na takwimu za Ofisi ya DPP Zanzibar. Divisheni hii inalenga kuhakikisha kwamba shughuli zote za taasisi zinaendeshwa kwa mujibu wa mipango iliyokusudiwa, bajeti inatumiwa kwa ufanisi, na takwimu zinazotolewa ni sahihi na zinatumika kwa kutengeneza maamuzi ya kiuchumi. Lengo kuu la divisheni hii ni kutoa mwongozo wa kimaendeleo, kufanya uchambuzi wa takwimu wa kitaalamu, na kuhakikisha utoaji wa taarifa sahihi kwa ajili ya uongozi na maamuzi ya kitaasisi.

Core Responsibilities

Planning and statistical responsibilities managed by the Division of Planning and Statistics:

1
Ukusanyaji na Uandaji wa Taarifa za Mipango

Kukusanya taarifa na kutayarisha Mpango Kazi wa mwaka na Mpango Mkakati wa muda wa kati wa Afisi.